Header AD

FLAVIANA MATATA KUTOA MSAADA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA

Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata Amekuja nchini akitokea nchini Marekani ambako ndiko yaliko makazi yake  kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa  VIFAA VYA KUOKOLEA MAISHA MAJINI (life vest)  ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo
 
anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo  Jumatatu ya 21 May  jijini mwanza
Reviewed by crispaseve on 08:23 Rating: 5

No comments

Post AD