Header AD

NA HIVI NDIVYO MPAMBANO ULIVYOKUWA KWA WOLPER NA WEMA SEPETU HAKUNA MBABE

Mwamuzi akiamua mpambano uanze.
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini. PICHA NA GPL
Reviewed by crispaseve on 06:11 Rating: 5

No comments

Post AD