Header AD

BLOGGER: JOACHIM MUSHI WA THE HABARI AUAGA UKAPERA KWA KISHINDO

Mhariri Mkuu wa Thehabari.com, Joachim Mushi (kushoto) akigonganisha glasi na mkewe Hilder Mwaipopo juzi (Agost 25) kwenye mnuso wao baada ya kumeremeta katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tabata.
Hapa ilikuwa ni wakati wa Mr & Mrs Joachim Mushi kufungua muziki.
Bi. Hilder Mwaipopo (kulia) akijiandaa kumnywesha mvinyo mumewe Joachim Mushi kwenye mnuso wa kumeremeta kwa  jijini Dar es Salaam.
Reviewed by crispaseve on 09:30 Rating: 5

No comments

Post AD