Header AD

MHANDO WA TANESCO ATIMULIWA KAZI RASMI

Bodi ya wakurugenzi ya shirika la Ugavi na Usambazaji Umeme nchini Tanzania (Tanesco) imefikia maamuzi ya kumwachisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Mhandisi, William Geofrey Mhando kuanzia Oktoba 29, mwaka huu. Taarifa kamili ya kwa Umma kutoka Bodi hiyo hii hapa chini:-

Reviewed by crispaseve on 09:38 Rating: 5

No comments

Post AD