Header AD

MAPITIO YA MAZISHI YA MSANII WA BONGO MOVIES JOHN MAGANGA AAGWA JIJINI DAR.

  Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam
 Katibu wa  Itikadi na Uenezi CCM na Mjumbe wa NEC, Nape Nnauye akitoa salam za Chama, kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es salaam.
Reviewed by crispaseve on 05:55 Rating: 5

No comments

Post AD