Header AD

Safari ya mwisho ya mpendwa wetu Sharo Milionea mchana huu..


 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 
 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.Picha Kwa Hisani ya Jiachie Blog
Reviewed by crispaseve on 05:56 Rating: 5

No comments

Post AD