Header AD

SUGU KUWAAGA WATANZANIA KIMUZIKI.


Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ambaye ndiye msanii wa bongo fleva anaeongoza kuwa na albam nyingi kuliko msanii yoyote hapa Tanzania
Kwasasa Mr II Sugu ana albam 10,ingawa alishawahi kutangaza
kuwa hato toa tena albam nyingine,ila ahadi hiyo imevunjwa kwani kwani alisema’Mashabiki wangu ndo wamefanya nivunje ahadi hii,maana wanataka bado kunisikia nikiendelea kuwapa burudani.Hivyo kwa heshma yao ntaachia tena albam,albam hiyo itaitwa ONE FOR THE ROAD.
Reviewed by crispaseve on 14:05 Rating: 5

No comments

Post AD