Header AD

PICHA: RAY C AAMUA KUOKOKA....!!

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo wa fleva jana ameweka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.
Reviewed by crispaseve on 02:56 Rating: 5

No comments

Post AD