HUYU NDIYE MGANGA ANAEDAIWA KUWAUNGANISHA DIAMOND, PENNIE NA WEMA SEPETU, MASTAA WENGI HUMTUMIA KUJIPATIA MAFANIKIO MAKUBWA,MWENYEWE AFUNGUKA KILA KITU!
Pennie na Diamond ambao wanadaiwa kumtumia Dk Kamdege kufanikisha mambo yao.
Dk
Kamdege kutoka Tabora ambae inasemekana amekuwa kwenye ukaribu na
mwanamuziki Diamond pamoja na Pennieh hata kabla hawaanzisha mahusiano
yako.
Na Sakina Shabani
Katika
hali isiyotarajiwa habari zilizopatikana muda mchache baada ya kuvuja
kwa siri ya undugu wa Pennie na Diamond kumbe chanzo chake inadaiwa
mganga mashuhuri Tanzania toka Mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina moja
Dk Kamdege ambae anahusika kwenye mahusiano hayo.
Mganga
huyo wa kienyeji ambae amekuwa maarufu sana tangu aanze huduma huyo
kutokana na watu maarufu wengi kumfuata kwa ajili ya kutatuliwa mambo
yao ikiwemo mafanikio kwenye biashara, kazi, muziki, sanaa, uongozi
ngzi za juu pamoja na michezo.
Habari
zaidi zilisema miezi kadhaa iliyopita mganga huyo aliwahi kujitoa
kwenye vyombo vha habari akimsihi Pennie aende kwake akamtafutie dawa
ili Diamond atulie kwani inamfahamu viuzri mwanamuziki huyo na anajua
kitu ambacho angefanya.
Haikupta
muda bila kufahamika kama Pennie alienda kwa Dk huyo au lakini hatimae
Diamond alianza kurejea kwa Pennie na mambo yalimalizika kabisa kabla ya
kuzuka kwa haya ya undugu na ndio maana watu wa karibu wamesema kuwa Dk
huyu anahusika kwenye mahusiano hayo ya Diamond na Pennie kwa kuwa ni
watu wake wa karibu sana.
Blog
hii ilimtafuta DK huyo na alipatikana kupitia namba yake ya simu
0788-844490 na alianza kusema" Mimi hao vijana nawafahamu sana lakini
mimi ni Dk wa Watanzania wote sio Pennie na Wema tu hapana kazi zangu
zinakubarika na watanzania wote na hata nje ya nchi kwani mimi nawatolea
watu mikosi wanaotaka kuwa maarufu na wenye mafanikio pia nawanyooshea
njia kwa hiyo naomba msiseme mimi ni Dk wa Pennie na Diamond hata
viongozi wakubwa Serikalini nawapatia baraka zangu kisha wanaenda
kufanikiwa huwa sipendi kujitangaza huko kwani mimi situmii uchawi kumpa
mutu mfanikio hapana hapa ni miti shamba tu inafanyakazi yake" Alisema
Kamdege
Aidha
Mganga huyo anasemekana amekuwa akitumiwa sana na baadhi ya viongozi
serikalini kwa ajili ya mafanikio kupata uongozi, kupandishwa vyeo
kazini, kupewa dawa ya kumuona mbaya wako kwa macho tu huku mastaa wengi
wa muziki, filamu, na biashara, kumtuliza mpenzi wako ambae hajatulia
kwa umalaya vitu vyote hivyo kwake ni tatizo dogo sana.
HUYU NDIYE MGANGA ANAEDAIWA KUWAUNGANISHA DIAMOND, PENNIE NA WEMA SEPETU, MASTAA WENGI HUMTUMIA KUJIPATIA MAFANIKIO MAKUBWA,MWENYEWE AFUNGUKA KILA KITU!
Reviewed by crispaseve
on
09:12
Rating:
Post a Comment