Header AD

PICHA ZA SHOW NZIMA YA MAPACHA PSQUARE WALIVYOKONGA NYOYO ZA WABONGO USIKU WA KUAMKIA LEO VIWANJA VYA LEADERS CLUB DAR ES SALAAM.



Onyinye 1

Jumamosi hii, P-Square wamefanikiwa kudhihirisha kwanini wao ni namba moja Afrika na wanastahili kuwa kundi la muziki linalolipwa fedha nyingi zaidi, baada ya kuzikonga nyoyo za mashabiki wa Dar es Salaam kwa show kali, yenye nguvu, ya kutikisa na ndefu kwenye viwanja vya Leaders Club.
Paul akipanda stejini
Paul akipanda stejini
P-Square ambao walisindikizwa na bendi yenye watu wanne tu (mpiga drums, mpiga kinanda, mpiga gitaa la bass na gitaa la solo), walitoa mfano wa namna live show inavyotakiwa kufanywa. Wakitaniana mara kwa mara jukwaani na kuendesha mashindano ya wao kwa wao, Peter na Paul Okoye walipiga show ya takriban masaa matatu, kwa kasi, nguvu na uwezo ule ule, kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Peter akiimba wimbo kwa hisia kali
Peter akiimba wimbo kwa hisia kali
Ilikuwa ni mpaka usikilize kwa makini kutofautisha kile bendi hiyo na wao walivyokuwa wakiimba na wimbo uliorekodiwa, kwakuwa bendi hiyo kali inayojua muziki ilipiga nyimbo zao kwa ustadi mkubwa.
Paul akiimba kwa hisia
Paul akiimba kwa hisia pia
P-Square waliimba karibu nyimbo zote zao zilizotamba na kuufanya umati mkubwa uliojitokeza Leaders upige kelele muda wote na kuimba nao nyimbo hizo. Kwa maneno yao wenyewe, P-Square wamesema show ya Dar ambayo iliandaliwa na East Africa Radio na kudhaminiwa na Vodacom, ilikuwa ya kuvutia kuliko zote walizowahi kufanya Afrika Mashariki.
Pamoja na nyimbo zao, pia waliimba nyimbo za wasanii wengine kama Usher, 2face, Radio n Weasel na wengine.
Mpiga gitaa wa P-Square
Mpiga gitaa wa P-Square
Awali kabla ya P-Square, Ben Pol, Lady Jaydee na Joh Makini pamoja na Weusi walitangulia kwa show zilizoshangiliwa kwa kiasi kikubwa pia. Kwa ufupim show ya P-Square imefanikiwa sana.
Miongoni mwa matukio yaliyotia fora ni pamoja na mrembo huyo chini kupandishwa jukwaani na kupewa cheo (kwa utani) cha mke wa pili wa Peter aliyefunga ndoa juzi jijini Lagos.
Onyinye - mrembo akifurahia
Mrembo aliyepandishwa jukwaani na P-Square kutambulishwa kama Onyinye wa Tanzania
Onyinye - Peter akimuaga mrembo
Onyinye - Peter amkibusu
Peter amkibusu mrembo huyo
Onyinye akivishwa saa na Peter
Onyinye akivishwa saa na Peter
Onyinye 1
Onyinye 2
Onyinye 3
Onyinye 4
Onyinye 5
Onyinye 6
Onyinye 7
Onyinye 8
Onyinye 9
Onyinye 11
Onyinye 12
Onyinye 13
Onyinye akiweka mkono avishwe saa
Onyinye
Paul akivuta hisia
Paul akivuta hisia
Paul akiwajibika jukwaani
Paul akiwajibika jukwaani
Paul Okoye
Paul Okoye
Peter akimsikiliza kaka yake Paul
Peter akimsikiliza kaka yake Paul
Peter akitafakari kitu
Peter akitafakari kitu
Peter akiuangalia kwa tabasamu umati mkubwa uliojitokeza Leaders Club
Peter akiuangalia kwa tabasamu umati mkubwa uliojitokeza Leaders Club
Peter akiwa haamini umati mkubwa uliojitokeza Leaders
Peter akiwa haamini umati mkubwa uliojitokeza Leaders
Peter mara baada ya kubaki kifua wazi
Peter mara baada ya kubaki kifua wazi
Peter mara baadaya kuvua nguo ya juu
Peter mara baadaya kuvua nguo ya juu
Profesa Jay
Profesa Jay
Waimbaji wa Machozi Band
Waimbaji wa Machozi Band
Weusi wakiwa stejini
Weusi wakiwa stejini
Ben Pol akisindikizwa na bendi ya Machozi akitoa burudani - Copy
Ben Pol akisindikizwa na bendi ya Machozi akitoa burudani
Ben Pol akitumbuiza
Ben Pol akitumbuiza
Joh Makini
Joh Makini
Lady akiwa ndani ya mavazi kama ya askari wa kike
Lady akiwa ndani ya mavazi kama ya askari wa kike
Lady Jaydee pamoja na Machozi Band akitumbuiza
Lady Jaydee pamoja na Machozi Band akitumbuiza
MC wa pili wa shughuli, T-bWAY
MC wa pili wa shughuli, T-bWAY MC wa shughuli, Dulla akisherehesha
MC wa shughuli, Dulla akisherehesha
Mpiga gitaa wa P-Square
Mpiga gitaa wa P-Square
Nikki wa Pili baada ya kupanda kumpa shavu kaka yake Joh Makini
Nikki wa Pili baada ya kupanda kumpa shavu kaka yake Joh Makini
Nikki wa Pili
Nikki wa Pili
IMG_2760
IMG_2826
IMG_2867
IMG_2902
IMG_2951
IMG_3020
IMG_3024
IMG_3035
IMG_3047
IMG_3066
IMG_3076
IMG_3139
IMG_3174
IMG_3175
IMG_3186
IMG_3232
IMG_3361
IMG_3384
IMG_3385
IMG_7915
Beautiful Onyinye wa Tanzanua
Beautiful Onyinye wa Tanzania aliyechaguliwa na P-Square
Esi, Jokate na Martin Kadinda
Esi, Jokate na Martin Kadinda
Faiza akifurahia burudani
Faiza akifurahia burudani.
Faiza wa EATV akichukua picha
Faiza wa EATV akichukua picha
Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo
Mashabiki wa burudani wakifurahia bia wakati burudani ikiendelea
Mashabiki wa burudani wakifurahia bia wakati burudani ikiendelea
Mrembo wa kizungu akiangalia shughuli ya P-Square
Mrembo wa kizungu akiangalia shughuli ya P-Square.
Mrembo wa mwenye nguo nyeupe alitia fora baada ya kuitwa jukwaani na Peter na kupewa heshima ya kuwa Beautiful Onyinye wa Tanzania
Mrembo wa mwenye nguo nyeupe alitia fora baada ya kuitwa jukwaani na Peter na kupewa heshima ya kuwa Beautiful Onyinye wa Tanzania.
Mzungu huyu aliyejichora tatto mwili mzima aliamua kusogea karibu pia kuwashuhudia P-Square
Mzungu huyu aliyejichora tatto mwili mzima aliamua kusogea karibu pia kuwashuhudia P-Square
Ni furahaa tu
Rihanna wa Bongo akijimwaya na burudani ya mapacha hao wa Nigeria
Rihanna wa Bongo akijimwaya na burudani ya mapacha hao wa Nigeria.
Rihanna wa Bongo
Rihanna wa Bongo.
Shabiki wa P-Square akiwa ameshika bango lenye ujumbe maalum kwa mapacha hao
Shabiki wa P-Square akiwa ameshika bango lenye ujumbe maalum kwa mapacha hao
Show ilihudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali
Show ilihudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali
Wapenzi wakijadili jambo
Wapenzi wakidokezana jambo
Warembo wakifurahia mbele ya camera ya Bongo5

Zari akichukua picha za P-Square
Zari aka The Boss Lady wa Uganda akichukua picha za P-Square.
Zari the Boss Lady wa Uganda alikuwepo pia kuwashuhudia P-Square
Zari aliamua kusafiri kutoka Kampala, Uganda kuja kuwashuhudia P-Square.
IMG_2773
IMG_2779
IMG_2787
IMG_2791
IMG_2839
IMG_2885
IMG_2912
IMG_2953
IMG_3096
IMG_3112
IMG_3202
IMG_3254
IMG_3261
IMG_3276
IMG_3370
IMG_3393
IMG_7965
IMG_7976
IMG_7979
IMG_7980
IMG_7982
IMG_7983
PICHA ZA SHOW NZIMA YA MAPACHA PSQUARE WALIVYOKONGA NYOYO ZA WABONGO USIKU WA KUAMKIA LEO VIWANJA VYA LEADERS CLUB DAR ES SALAAM. PICHA ZA SHOW NZIMA YA MAPACHA PSQUARE WALIVYOKONGA NYOYO ZA WABONGO USIKU WA KUAMKIA LEO VIWANJA VYA LEADERS CLUB DAR ES SALAAM. Reviewed by crispaseve on 13:18 Rating: 5

No comments

Post AD