Header AD

NICK MINAJ HUMWAMBII KITU KUHUSU MWANAUME HUYU, NDIYE ALIYEMFIKISHA HAPO ALIPO LEO..


Safaree Samwel na Nick Minaj
Diva asiyehishiwa vituko kutoka Crew tajiri ya Young Money  hapa namzungumzia bi mdada ‘Onika Tanya Maraj ‘ anayefahamika kwa jina la stage NICK MINAJ ambaye amekuwa akimake headlines kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na staili yake ya uimbaji, mavazi, muonekano na vituko anapokuwa stejini, & Once a fame got to Nick Minaj ameamua funguka LIVE kuhusiana BF wake ambaye ni brazameni na mkali wa kutupia anayeitwa ‘Safaree Llyod Samweli’ A.K.A  ‘Scuff Beezy’ kuwa ndiye mwanaume wa maisha yake na ndiye aliyemfikisha hapo alipo kabla ya duniani kumjua Nick Minaj ni  nani.
Chanzo kimoja kutoka majuu kinachoandika habari za mastaa  kilieleza kwamba katika kudhihirisha ukweli wa kauli aliyotoa Minaj hivi karibuni mpenzi wake huyo aliamua kumaliza utata baada ya kuchora tattoo yenye picha ya Nick Minaj katika mkono wake wa kulia kitendo kilichotafsiriwa kwamba ni jinsi gani wawili hao wanavyopendana na kushibana.
Katika picha ni Tattoo mpya aliyochora BF wake huyo yenye sura  ya Nick Minaj.
Tazama Video ya jamaa akichorwa Tattoo yenye picha ya Nick Minaj.

NICK MINAJ HUMWAMBII KITU KUHUSU MWANAUME HUYU, NDIYE ALIYEMFIKISHA HAPO ALIPO LEO.. NICK MINAJ HUMWAMBII KITU KUHUSU MWANAUME HUYU, NDIYE ALIYEMFIKISHA HAPO ALIPO LEO.. Reviewed by crispaseve on 13:04 Rating: 5

No comments

Post AD