Header AD

MHE.SUGU AWAHITA WANACHAMA WALIOVULIWA VYEO NA KAMATI KUU CHADEMA MASNITCHES.


Mbunge machachari anayewakilisha jimbo la Mbeya mjini Mhe.Joseph Mbilinyi A.K.A SUGU kupitia tiketi ya CHADEMA ameonyesha kufurahishwa na maamuzi yaliyotolewa na kamati kuu ya chama chake dhidi ya Mbunge wa Kigoma kaskazini Mhe.Zitto Kabwe, Dkt. Kitilia Mkumbo na Samson Mwigamba kuvulia nyadhifa zao zote ndani ya chama, kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa facebook mhe.Sugu aliweza kuandika maneno haya.
MHE.SUGU AWAHITA WANACHAMA WALIOVULIWA VYEO NA KAMATI KUU CHADEMA MASNITCHES. MHE.SUGU AWAHITA WANACHAMA WALIOVULIWA VYEO NA KAMATI KUU CHADEMA MASNITCHES. Reviewed by crispaseve on 13:06 Rating: 5

No comments

Post AD