Rais Kikwete azindua mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Watanzania mkoani geita
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi mgodi
unaomilikiwa na kampuni ya Nsagali uliopo Ushirombo wilayani Bukombe,
Mkoa wa Geita jana.Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mh.Masele,Wa pili kushoto ni mmoja wa wamiliki wa mgodi huo Bwana
Emmanuel Silanga, Wanne kulia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mh.Profesa
Kalikoyela Kahigi na kulia mwisho ni Mkuu wa Mkoa mpya wa Geita Mhe.
Said Magalula.
Mmoja
wa Wamiliki wa Mgodi wa Ngasali Bwana Emmanuel Silanga kulia
akimwonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete uchenjuaji wa dhahabu
unaofanyika katika mgodi huo uliopo Ushirombo,Wilayani Bukombe, mkoa wa
Geita. Picha na Freddy Maro
Rais Kikwete azindua mgodi wa Dhahabu unaomilikiwa na Watanzania mkoani geita
Reviewed by crispaseve
on
00:06
Rating:
Post a Comment