Header AD

TID ASWEKA RUMANDE NA BABY WAKE


Khaleed Mohamed ‘TID’ na Mariam Nnauye.
 
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed ‘TID’ yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake,  Mariam Nnauye.ik
 
TID ASWEKA RUMANDE NA BABY WAKE TID ASWEKA RUMANDE NA BABY WAKE Reviewed by crispaseve on 22:24 Rating: 5

No comments

Post AD