Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba Amtembelea Makamu wa Rais Gharib Bilal Ofisini Kwake IKULU jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba Amtembelea Makamu wa Rais Gharib Bilal Ofisini Kwake IKULU jijini Dar es Salaam
Reviewed by crispaseve
on
12:25
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
12:25
Rating:

Post a Comment