Header AD

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea na Kujionea Mwenyewe Athari za Vurugu Zilizotokea Mwaka Jana Masasi



 Sehemu ya jengo la CCM Wilaya ya Masasi ambalo liliteketezwa na moto mwaka jana.
  Waziri mkuu  Mizengo Pinda akikagua nyumba ya Mbunge wa Masasi Mariam Kasembe ambayo ilichomwa moto wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea wilaya hiyo.Kulia ni Omary Lada mume wa Mbuge
  Waziri mkuu  Mizengo Pinda akiangalia moja  kati ya magari yaliyo chomwa moto nyumbani kwa  Mbuge wa Masasi Mariam Kasembe  wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea wilaya hiyo.
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia Mpira wa Matambara wa kijana Hasani Kasim alipokuwa katika ziara ya kukagua adhari za vurugu mwaka mmoja uliopita katika Wilaya ya Masasi .
  Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Masasi akimwonyesha Waziri Mkuu Mizengo Pinda adhari za vurugu ambapo ofisi ya CCM ilichomwa moto mwaka mmoja uliopita .
Waziri mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme wilaya ya Nanyumbu kulia ni waziri wa nishati na madini Prof Sospeter Muhongo na kutoka kushoto ni Meneja Mwandaminzi wa TANESCO, Kanda ya Dar es salaam na Pwani  inayojumuisha  mikoa ya Lindi na Mtwara Mhandisi  Mahende Mugaya,mkuu wa wilaya ya Nanyumbu, mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal mstaafu Joseph Simbakalia, Mbuge wa Nanyumbu Dastani Mkapa.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea na Kujionea Mwenyewe Athari za Vurugu Zilizotokea Mwaka Jana Masasi Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea na Kujionea Mwenyewe Athari za Vurugu Zilizotokea Mwaka Jana Masasi Reviewed by crispaseve on 12:27 Rating: 5

No comments

Post AD