Header AD

NMB YADHAMINI MKUTANO WA TAASISI ZA KILIMO AFRIKA MASHARIKI

n3 
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na   Meneja Uhusiano kitengo cha Kilimo Christopher Mwalugenge alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na Kilimo uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Kilimo wa NMB Robert Pascal na Meneja Uhusiano wa wateja wakubwa Shilla Senkoro. n4 
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha biashara ya Kilimo NMB, Robert Pascal (pili kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na kilimo. Maonyesho haya yameshirikisha wadau mbali mbali kutoka Afrika Mashariki. NMB ikiwa ni miongoni mwa wadau wakubwa wa Kilimo nchini n6 
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu chenye maelezo ya bidhaa za Kilimo zinazo tolewa  na NMB huku akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha biashara ya Kilimo NMB, Robert Pascal (pili kushoto) alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya Taasisi zinazojishughulisha na Kilimo uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano kitengo cha Kilimo Christopher Mwalugenge na Meneja Uhusiano wa wateja wakubwa, Shilla Senkoro.

NMB YADHAMINI MKUTANO WA TAASISI ZA KILIMO AFRIKA MASHARIKI  NMB YADHAMINI MKUTANO WA TAASISI ZA KILIMO AFRIKA MASHARIKI Reviewed by crispaseve on 12:59 Rating: 5

No comments

Post AD