Header AD

ZIARA YA WAZIRI MKUU WA FINLAND NCHINI



 Waziri Mkuu wa Ufini, Jyrki Katainen akikagua gwaride la heshima  lililoandaliwa wakati wa mapokezi Ikulu, Dar es Salaam. Waziri Mkuu huyo atakuwa nchini kwa ziara ya siku mbili. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 JK NA MWENYEJI WAKE WAKIPIGIWA WIMBO WA TAIFA
 Mizinga ikipigwa kwa heshima ya waziri mkuu huyo.
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ufini (Finland), Jyrki Katainen na ujumbe wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Profesa Mark Mwandosya (kulia) akizungumza na Waziri Mkuu wa Ufini, Jyrki Katainen wakati wa mdahalo wa majadiliano ya ushirikiano baina ya nchi za Afrika na Ulaya ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi jijini Dar es Salaam. Profesa Mwandosya alimwakilisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Wadau wakiwa katika mdahalo wa majadiliano ya ushirikiano baina ya nchi za Afrika na Ulaya ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliwashirikisha wadau wa Tanzania na Ufini
ZIARA YA WAZIRI MKUU WA FINLAND NCHINI ZIARA YA WAZIRI MKUU WA FINLAND NCHINI Reviewed by crispaseve on 13:00 Rating: 5

No comments

Post AD