PROIN GROUP OF COMPANIES YAPOROMOSHA BONGE LA PATI LA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 NDANI YA TRANIC PLAZA
Mshereheshaji
wa Sherehe ya Kuukaribisha mwaka 2014 ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bongo
Movie Steve Nyerere akitoa mawili Matatu wakati wa sherehe ya
kuukaribisha Mwaka 2014 iliyoandaliwa na Proin Group of Companies
kwaajili ya kukutanisha wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya Makampuni
ya Proin Group Of Companies.
Mwenyekiti
wa Makampuni ya Proin Group of Companies Bw Johson Lukaza
akiwakaribisha wafanyakazi wa makampuni yaliyo chini ya Proin Group of
Companies pamoja na wageni waalikwa katika sherehe ya kuukaribisha mwaka
2014 iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Jengo la Kampuni hiyo la
Tranic Plaza.
Baadhi
ya wafanyakazi kutoka Proin Group of Companies pamoja na wageni
waalikwa waliohudhuria sherehe ya kuukaribisha mwaka 2014 iliyofanyika
Mwishoni Mwa Wiki katika Jengo la Tranic Plaza
Muda Wa Maakuli ukawadia, wadau wakajongea...
Msanii
wa Filamu Tanzania akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Proin
Promotions Limited Bw Geofrey Lukaza mara baada ya kuwasili katika
sherehe hiyo ya kuukaribisha mwaka Iliyofanyika Mwishoni Mwa Wiki katika
Jengo la Tranic Plaza lililopo Kinondoni. Kushoto ni Mwenyekiti wa
Makampuni ya Proin Group of Companies Bw Johnson Lukaza
Baadhi
ya Wawakilishi Wa Makampuni yaliyo chini ya Kampuni ya Proin Group Of
Companies wakifungua shampeni kwenye sherehe ya kuukaribisha Mwaka 2014
iliyoandaliwa na Kampuni Mama ya Proin Group of Companies iliyofanyika
usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 26 January 2014 katika Jengo la
Tranic Plaza lililopo Kinondoni.
Wawakilishi
wa Makampuni yaliyo chini ya Kampuni Mama ya Proin Group of Companies
wakiwa tayari kufungua shampeni katika sherehe ya kuukaribisha mwaka
2014 iliyofanyika katika jengo la Tranic Plaza lililopo Kinondoni
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Proin Promotions Limited (Wa Kwanza Kushoto) Bw Geofrey
Lukaza akiwa katika meza moja na Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria
sherehe ya Kuukaribisha Mwaka 2014 iliyofanyika Katika Jengo la Tranic
Plaza Mwishoni Mwa Wiki.
Mwenyekiti
wa Makampuni ya Proin Promotions Limited Bw Johnson Lukaza akigonga
glasi na baadhi ya wageni waalikwa waliopo kwenye meza kuu wakati wa
sherehe za kuukaribisha Mwaka 2014 iliyoandaliwa na Proin Group Of
Companies iliyofanyika katika Jengo la Tranic Plaza mwishoni mwa wiki
Baadhi
ya wafanyakazi wa Infinity Communication iliyopo chini ya Proin Group
of Companies wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe ya
kuukaribisha mwaka 2014 iliyoandaliwa na Proin Group of Companies,
sherehe iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Jengo la Tranic Plaza
Baadhi
ya wakurugenzi wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies
wakikata keki Kama ishara ya kuukaribisha Mwaka 2014 kwenye sherehe ya
kuukaribisha mwaka iliyofanyika mwishoni mwa Wiki katika Jengo la Tranic
Plaza.
Wadau Wakiserebuka
Msanii
wa Muziki wa Mduara Shilole akiserebuka ma mmoja wa washabiki wake
katika sherehe za kuukaribisha mwaka 2014 iliyoandaliwa na Proin Group
of Companies
PROIN GROUP OF COMPANIES YAPOROMOSHA BONGE LA PATI LA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 NDANI YA TRANIC PLAZA
Reviewed by crispaseve
on
23:10
Rating:

Post a Comment