Header AD

VIDEO : PERFOMANCE YA JAY Z, BEYONCE NA KENDRICK KATIKA TUZO ZA GRAMMY ZAGEUKA KUWA GUMZO MTANDAONI.

Kabla ya kuanza kwa zoezi la utoaji wa tuzo za Grammy kwa mwaka 2014 ulitangulia ufunguzi wa burudani kabambe kutoka kwa couples wanaofanya vizuri katika gemu ya muziki Duniani,  hapa namzungumzia Beyonce na Jay Z waliotoa burudani kabambe ya Drunk in Love iliyoamsha kelele na vifijo kutoka kwa wageni waalikwa na mastaa walohudhuria hafla hiyo.

Hata ivyo burudani haikuishia hapo baada ya mkali wa mashairi, Kendrick lamar kushambulia  jukwaa kwa staili ya aina yake na  kukonga nyoyo za mashabiki waliokuwepo katika ukumbi wa staples center jijini Los Angels,..Tazama kwa hapa chini ujionee mwenyewe jinsi mambo yalivyokuwa..

VIDEO : PERFOMANCE YA JAY Z, BEYONCE NA KENDRICK KATIKA TUZO ZA GRAMMY ZAGEUKA KUWA GUMZO MTANDAONI. VIDEO : PERFOMANCE YA JAY Z, BEYONCE NA KENDRICK KATIKA TUZO ZA GRAMMY ZAGEUKA KUWA GUMZO MTANDAONI. Reviewed by crispaseve on 21:18 Rating: 5

No comments

Post AD