Header AD

MTOTO WA UHURU KENYATTA ATOKA KIMAPENZI NA MJUKUU WA RAIS MSTAAFU WA KENYA ARAP MOI.

Taarifa zilizothibitishwa na chanzo kimoja cha habari kinachoandika  masuala ya mastaa kutoka nchini Kenya,  zimedai  kwamba yule mtoto wa Rais Uhuru Kenyatta anayeitwa Muhoho Kenyatta ameamua kuweka wazi mahusiano yake bila kujivunga  na mrembo mmoja aliyefahamika kwa jina la Tallisa ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa Rais wa zamani wa Kenya Daniel Arap Moi.
Kama wahenga wasemavyo ”Birds of a feather flock together and impressively” mtoto huyo wa Prezida wa Kenya aliyejikita kwenye masuala yanayohusu fashion hasa katika sekta ya ubunifu wa mavazi ambaye pia ni mwanafunzi wa shule ya kimataifa ya Braeburn amekuwa akionekana akiwa na Tallisa katika maeneo mbalimbali ya bata nchini Kenya na kupost picha wakiwa pamoja kupitia mitandao ya kijamii. Unaweza ukawatazama katika picha.
 
MTOTO WA UHURU KENYATTA ATOKA KIMAPENZI NA MJUKUU WA RAIS MSTAAFU WA KENYA ARAP MOI. MTOTO WA UHURU KENYATTA ATOKA KIMAPENZI NA MJUKUU WA RAIS MSTAAFU WA KENYA ARAP MOI. Reviewed by crispaseve on 21:11 Rating: 5

No comments

Post AD