Header AD

RAIS KIKWETE AZINDUA KONGAMANO LA KILIMO AFRICA MASHARIKI

 :Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha Mandela toka kwa Mkurugenzi wa Programu wa Spintelligent ya Afrika Kusini Bi. Amore Swart baada ya kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Bi Meab Mdimi wa Kampuni ya Kilimo ya TECHNOSERVE  baada ya kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo katika banda la Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Kilimo Kusini mwa Ukanda wa Afrika (SAGCOT)    baada ya kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2014. PICHA NA IKULU.

RAIS KIKWETE AZINDUA KONGAMANO LA KILIMO AFRICA MASHARIKI RAIS KIKWETE AZINDUA KONGAMANO LA KILIMO AFRICA MASHARIKI Reviewed by crispaseve on 21:05 Rating: 5

No comments

Post AD