Header AD

MASHINDANO YA NGUMI KATIKA GYM YA NDAME


Bondia Kassimu Gamboo kushoto akimtupia makonde bondia Omari Tambwe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese midizini Kilimahewa Dar es salaam Gamboo alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza katika mchezo huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Faraji Sayuni kushoto akipambana na Fredy Sayuni wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini  Kilimahewa Dar es salaam Fredy alisjhishinda katika raundi ya pili picha na Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Haji Gamba kushoto akipambana na Julius Kisarawe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini  Kilimahewa Dar es salaam Kisarawealisjhishinda katika raundi ya pili picha na Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Ibrahimu Tamba kushoto akipambana na Baraka Ali wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini  Kilimahewa Dar es salaam Tamba alishishinda katika raundi ya pili picha na Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
MASHINDANO YA NGUMI KATIKA GYM YA NDAME MASHINDANO YA NGUMI KATIKA GYM YA NDAME Reviewed by crispaseve on 00:19 Rating: 5

No comments

Post AD