ARSENAL YAIGONGA EVERTON 4-1
Olivier
Giroud na Mesut Ozil wakishangilia bao la nne kwa Arsenal dhidi ya
Everton katika dakika ya 85. Bao hilo limefungwa na Giroud.
Olivier Giroud akishangilia bao la tatu kwa Arsenal alilofunga dakika ya 83.
Mikel Arteta akishangilia bao la pili kwa Arsenal alilolifunga kwa penalti katika dakika ya 67.
Romelu Lukaku wa Everton baada ya kuifungia timu yake bao dakika ya 32.
Santi Cazorla na Mesut Ozil wakifurahia bao la kwanza lililofungwa dakika ya 7 na Ozil.
TIMU
ya Arsenal imeibuka kifua mbele kwa bao 4-1 dhidi ya Everton kwenye
mechi ya Robo Fainali ya Kombe la FA iliyopigwa Emirates hivi punde! Kwa
matokeo hayo, Arsenal wametinga Nusu Fainali ya michuano hiyo.
ARSENAL YAIGONGA EVERTON 4-1
Reviewed by crispaseve
on
21:33
Rating:
Post a Comment