JUMUIYA YA FAWE YAFANYA MKUTANO MKUU WA NANE ZANZIBAR
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizindua Tovuti (WEBSITE) ya
Jumiya inayosaidia maendeleo ya Elimu kwa wanawake (FAWE) Zanzibar
katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Mjini Zanzibar
(kulia) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya inayosaidia maendeleo ya Elimu kwa wanawake (FAWE) wakitizama Tovuti yao mara baada ya kuzinduliwa na Mama Mwanamwema Shein.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Abdallah Mzee Abdallah
akitoa shukurani kwa Jumuiya ya (FAWE) kwa kuwasaidia watoto wa kike
kielumu (kushoto) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizungumza na wanachama na
wananchi wa Jumuiya ya (FAWE) hawapo pichani katika Mkutano Mkuu wa 8 wa
Jumuiya hiyo pamoja na kuzindua Tovuti yao katika ukumbi wa Chuo Kikuu
cha Taifa SUZA Mjini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi cheti Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed wakiwa ni waanzilishi wa Jumuiya ya (FAWE) Zanzibar.
Afisa
Miradi wa Jumuiya ya (FAWE) Bi. Arafa Yahya Saleh (wakatikati) akiwa na
baadhi ya wanawake waliosaidiwa kielimu na Jumuiya ya hiyo. (Picha na
Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).
JUMUIYA YA FAWE YAFANYA MKUTANO MKUU WA NANE ZANZIBAR
Reviewed by crispaseve
on
03:05
Rating:
Post a Comment