LADY GAGA AMESHINDIKANA! TAZAMA KITU ALICHOVAA KWENYE BETHIDEI YAKE.
Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa vituko kila kukicha, Lady gaga ametoa mpya baada ya kuvaa
nguo iliyomuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake kiasi kwamba unaweza
ukaona kila kitu alichovaa kwa ndani wakati akisherehekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutimiza miaka 28 iliyofanyika katika ukumbi wa ‘Roseland Ballroom’ New York Marekani
”Asanteni sana kwa kujumuika na mimi
kwenye bethidei yangu, nilipoamka asubuhi nilikuwa na furaha. Nilikuwa
nahamu ya kuwepo hapa usiku huu. Nina marafiki wengi hapa..mashabiki
wengi na nimekulia kwa miaka sita” alisema Gaga


LADY GAGA AMESHINDIKANA! TAZAMA KITU ALICHOVAA KWENYE BETHIDEI YAKE.
Reviewed by crispaseve
on
16:13
Rating:
Post a Comment