Hitmaker wa Tupogo, Ommy Dimpoz ameendelea kutoa dozi ya kupiga shoo kali nchini za watu na safari hii ameshea baadhi ya picha na mashabiki kwenye ukurasa wake wa Instagram za show aliyoifanya Muscat, Oman akiwa na bendi yake iliyohudhuriwa na nyomi ya watu. Thumbs up Dimpoz.
Post a Comment