MAHABA NIKAUSHE DAMU, JAY Z AMPANDISHA BEYONCE VESPA…

Rapa Jay Z na Beyonce wametupa kule ustaa na utajiri walionao
na kuamua kuonyeshana mahaba nikaushe damu yaliyowapelekea kutumia
usafiri uliozoeleka kutumiwa na watu wa hali ya chini wa pikipiki ndogo aina vespa au puchi kama wengine wanavyouita.
Kitendo hicho kilionekana kuwavutia watu wengine wakati wa
kurekodi season mpya ya kipindi cha ‘The Fabulous Life’ kitakachokuwa
kikirushwa hewani na kituo cha VH1 .

Jay Z na Beyonce kwa Vespa, sio mchezo.
MAHABA NIKAUSHE DAMU, JAY Z AMPANDISHA BEYONCE VESPA…
Reviewed by crispaseve
on
16:06
Rating:
Post a Comment