Header AD

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye Mazishi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,





 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014.


Waziri  Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa  katika mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu  Kilosa achi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye Mazishi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye Mazishi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, Reviewed by crispaseve on 16:05 Rating: 5

No comments

Post AD