Header AD

Matukio Bunge la Katiba leo Mjini Dodoma



Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Evod Mmanda bungeni Mjini Dodoma Leo.
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Pandu Ameir Kificho akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Bunge Hilo kabla ya Kuanza kwa Semina ya Uundaji wa kanuni zitakazoongoza bunge hilo, Mjini Dodoma Leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Wakisali Dua zilizoongozwa na Mufti, SheikhThabit Noman Jongo na Askofu Mstaafu Donald Mtetemela kabla ya Kuanza kwa Semina ya Uundaji wa kanuni zitakazoongoza bunge hilo, Mjini Dodoma Leo.
Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba na Mjumbe katika kamati ya kuunda kanuni zitakazzongoza Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akijibu hoja iliyoulizwa na Moja ya Mjumbe wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
(Picha na Hassan Silayo)
Matukio Bunge la Katiba leo Mjini Dodoma  Matukio Bunge la Katiba leo Mjini Dodoma Reviewed by crispaseve on 21:43 Rating: 5

No comments

Post AD