Header AD

NISHIDAH!!! KIM KARDASHIAN KATIKA VAZI LA UFUKWENI NCHINI THAILAND.

K2
Familia ya kishua na iliyojaa warembo daraja la kwanza wenye vipaji lukuki, Kardashian’s Family imetia nanga nchini Thailand tangu machi 30  kwa ajili ya kurekodi muendelezo wa kipindi cha tv ‘Keeping Up with Kardashian’s kinachoendeshwa na mama wa familia hiyo, Kris Jenner…
Na hivyo kumpatia fursa mchumba wa rapa kanye west na mama wa mtoto mmoja, Kim Kardashian kuonyesha urembo wake kwa kutumia vazi la ufukweni. Utasema hakuwahi kushika ujauzito….


K1  K3 K4
NISHIDAH!!! KIM KARDASHIAN KATIKA VAZI LA UFUKWENI NCHINI THAILAND. NISHIDAH!!! KIM KARDASHIAN KATIKA VAZI LA UFUKWENI NCHINI THAILAND. Reviewed by crispaseve on 15:45 Rating: 5

No comments

Post AD