Header AD

PICHA : DIAMOND ASINDIKIZWA NA BABY AKE WEMA SEPETU UWANJA WA NDEGE ‘JNIA’ AKIELEKEA NIGERIA.


Penzi ni kikohozi kulificha huliweza, Diamond na bebi ake Wema Sepetu wamelidhihirisha hilo baada ya madamu(Wema)  kumsindikiza sukari ya warembo(Diamond) mpaka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ‘JNIA’ wakati akielekea Lagos, Nigeria kwa ajili ya kufanya video na wasanii wakubwa nchini humo na kuhudhuria event ya Femia Kuti .

Diamond ameondoka Tanzania Machi 30 akiwa na meneja wake, babu Tale kwa ndege ya shirika la Ethopian Airline. Staa huyo wa kibao cha ‘My Number one’ aliweza kushea na mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya picha za kabla na baada ya kufika Nigeria.
PICHA : DIAMOND ASINDIKIZWA NA BABY AKE WEMA SEPETU UWANJA WA NDEGE ‘JNIA’ AKIELEKEA NIGERIA. PICHA : DIAMOND ASINDIKIZWA NA BABY AKE WEMA SEPETU UWANJA WA NDEGE ‘JNIA’ AKIELEKEA NIGERIA. Reviewed by crispaseve on 15:43 Rating: 5

No comments

Post AD