Padri wa Makanisa ya Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni Kalenga Constantino Mbilinyi amepigwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.
Baada ya kukutwa na mkasa huo, Padri Mbilinyi
alishikiliwa kwa muda katika Ofisi ya Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho,
Kumbusho Chengula, na baadaye alichukuliwa na askari ambao walimpeleka
Kituo cha Polisi Kati, mjini Iringa kwa mahojiano.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.......
Padri wa Makanisa ya Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni Kalenga Constantino Mbilinyi amepigwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.
Reviewed by crispaseve
on
22:23
Rating:
Post a Comment