Header AD

Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini IKULU Mjini Zanzibar


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI,baada ya mazungumzo yao   Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini IKULU Mjini Zanzibar Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini IKULU Mjini Zanzibar Reviewed by crispaseve on 14:20 Rating: 5

No comments

Post AD