Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Waziri Mkuu, izengo Pinda Azindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya
Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa
ni moja ya shughuli za Wiki ya Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake
ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.
Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Waziri Mkuu, izengo Pinda Azindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa
Reviewed by crispaseve
on
00:43
Rating:

Post a Comment