Header AD

PICHA ZA HARUSI YA KIMILA YA PAUL OKOYE WA PSQUARE NA ANITA.



Click for Full Image Size
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, msanii wa muziki nchini Nigeria, Paul Okoye anayeunda kundi la Psquare, hatimaye amefunga ndo na mchumba wake wa muda mrefu, Anita Isama.
Wapendanao hao wamefunga ndoa ya kimila leo iliyofanyika Aztech Arcum, Portharcourt eneo la Riverside nchini humo.

Katika sherehe hiyo iliyohudhuria na mastaa pamoja na watu mashuhuri, Olamiju Alao – Akala ndiye alikuwa msimamizi wa kiume ‘Best man’ wa Paul. Hii inakuwa ni ndoa ya pili kwa memba wa Psquare, ukiacha ile ya Peter aliyofunga mwaka jana.
 

Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size
Click for Full Image SizeClick for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size Click for Full Image Size
PICHA ZA HARUSI YA KIMILA YA PAUL OKOYE WA PSQUARE NA ANITA. PICHA ZA HARUSI YA KIMILA YA PAUL OKOYE WA PSQUARE NA ANITA. Reviewed by crispaseve on 01:36 Rating: 5

No comments

Post AD