VIMBWANGA VYA MOYES BAADA YA USHINDI WA JUMATANO.
Baada ya kikosi cha mashetani
wekundi, timu ya Manchester United kuipa kichapo cha mbwa mwizi
Olympiakos ya Ugiriki katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya
‘UEFA’ na kuiwezesha timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali.
Hizi nni baadhi ya picha
zilizozagaa mitandaoni zikimuonyesha meneja wa United, David Moyes
akionyesha furaha yake na jinsi timu pinzani zinavyotamani kumkabili
mscotland huyo ..
VIMBWANGA VYA MOYES BAADA YA USHINDI WA JUMATANO.
Reviewed by crispaseve
on
01:32
Rating:
Post a Comment