Header AD

ARSENAL WACHAPWA 6 – 0 NA CHELSEA.



Arsenal's Kieran Gibbs is sent off by referee Andre Marriner against Chelsea in the Premier League
Kipigo kitakatifu cha goli 6- 0 walichokipata washika mtutu wa jiji la London ‘Arsenal’ dhidi ya Chelsea katika dimba la Stamford Bridge imeondoa furaha ya meneja wa timu hiyo, Arsene Wenger ikiwa ni mechi yake ya 1000 tangu kuanza kufundisha kikosi hicho.
Thumping: Chelsea ran riot over a hapless Arsenal in the first-half at Stamford Bridge
Katika mchezo huo uliokuwa wa vuta nikuvute, Samwel Eto’o, Andre Schurrie, Edden Hazard kwa penalti, Oscar bao mbili na Mohamed Salah waliweza kukamilisha karamu ya magoli kwa Chelsea .
Image
ARSENAL WACHAPWA 6 – 0 NA CHELSEA. ARSENAL WACHAPWA 6 – 0 NA CHELSEA. Reviewed by crispaseve on 01:31 Rating: 5

No comments

Post AD