MAMA MZAZI WA KIM KARDASHIAN ROHO JUU BAADA YA MKANDA WAKE WA NGONO KUVUJA, MWENYE NAO ADAI MKWANJA MREFU(18+).

Mama mzazi wa mwanamitindo Kim kardashian, Kris jenner mwenye
umri wa miaka 58 amejikuta akikosa amani na furaha baada ya picha zake
za utamu alizopiga kipindi cha nyuma kuvuja mitandaoni kwa kasi ya moto
wa kifuu huku mwenye nazo akimtishia kuachia mkanda mzima wa uchafu
aliokuwa akifanya endapo atakaidi agizo la kumlipa kiasi cha hela
anachohitaji.
Chanzo kimoja kinachoandika habari za mastaa kilidai
kwamba, mtangazaji huyo wa kipindi cha ‘Keeping up with the Kardashian’
alidhani ni masihara baada ya kupigiwa simu na mtu asiyemfahamu siku
saba zilizopita aliyekuwa akitumia zaidi ya namba mia tofauti akimtaka
amlipe hela na endapo akikaidi basi ataachia mkanda mzima wa ngono
aliorekodiwa.

Hii ni moja ya picha iliyokuwepo kwenye kipande cha mkando huo.
Katika kuonyesha hali ya kushangaza, mtu huyo mwenye huo
mkanda imeonekana akimfuatilia Jenner kila hatua baada ya kumtumia
ujumbe mfupi wa maneno uliosomeka ”umependezewa na mgahawa”? ikiwa ni
muda mfupi tangu atoke kula katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya familia ya Kadashian,
imembidi mwanamama huyo kuongeza ulinzi na kulifikisha suala
hilo.mikononi mwa polisi.

MAMA MZAZI WA KIM KARDASHIAN ROHO JUU BAADA YA MKANDA WAKE WA NGONO KUVUJA, MWENYE NAO ADAI MKWANJA MREFU(18+).
Reviewed by crispaseve
on
01:29
Rating:
Post a Comment