RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUIPASUA CHALINZE KATIKA KUSAKA KURA ZA UBUNGE
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani
Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kifuleta,Kata ya
Mbwewe jana Machi 23,2013
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani
Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini,Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye
alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni Babu yake,wakati
alipokwenda kumsalimia kijijini kwake,Pongwe Kiona jana Machi 23,2013.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani
Jakaya Kikwete akizindua shina CCM la vijana wa boda boda katika kijiji
cha Pongwe Kiona, jana Machi 23,2013.
RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUIPASUA CHALINZE KATIKA KUSAKA KURA ZA UBUNGE
Reviewed by crispaseve
on
01:19
Rating:

Post a Comment