Header AD

Ridhiwani kikwete aendelea na kampeni za lala salama chalinze



Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita  kuwasalimia na kuwaomba ridhaa ya kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Jana Machi 30,2014.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Sam wa Ukweli akitoa Burudani kwa wananchi wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Shangwe kwa wananchi wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange.
Wananchi wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange wakifatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni za CCM.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana kwa furaha na wakinamama wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein Mwindadi ambaye ni Baba wa Diwani wa Kata ya Mkange.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akitaniana na Mzee Nassor Samnamwanja wa Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Wakazi wa Kijiji cha Manda Mazingara wakiwa wameshika mabango ya Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati walipokuwa wakimkaribisha Kijijini kwao
Ridhiwani kikwete aendelea na kampeni za lala salama chalinze  Ridhiwani kikwete aendelea na kampeni za lala salama chalinze Reviewed by crispaseve on 03:20 Rating: 5

No comments

Post AD