Header AD

TAZAMA VIDEO ZA MAGOLI UONE JINSI LIVERPOOL ILIVYOIADHIBU MANCHESTER UNITED BAO 3 – 0 DIMBANI KWAO OLD TRAFFORD.


Kikosi cha mashetani wekundu,  Manchester United,  kimeendelea kushikilia kaluli mbiu yao ya ukibonde mbele ya mabingwa mara 19 klabu ya Liverpool kwa kukubali mvua ya magoli 3 kwa nunge katika dimba la nyumbani, Old Trafford na hivyo kuipa Liver ubingwa wa bure na kuifanya ivunje historia ya miaka 5 ya kutokushinda uwanjani hapo
 Man Utd: De Gea, Da Silva, Jones, Vidic, Evra, Fellaini, Carrick, Mata, Rooney, Januzaj, van Persie.
Subs: Ferdinand, Lindegaard, Young, Welbeck, Cleverley, Valencia, Kagawa.
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Agger, Flanagan, Henderson, Gerrard, Allen, Sterling, Sturridge, Suarez.
Subs: Brad Jones, Aspas, Coutinho, Moses, Sakho, Cissokho, Lucas.
Wafungaji : Gerrard pen 34, pen 46, Suarez 84
Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear).
Magoli yapo hapa chini..
TAZAMA VIDEO ZA MAGOLI UONE JINSI LIVERPOOL ILIVYOIADHIBU MANCHESTER UNITED BAO 3 – 0 DIMBANI KWAO OLD TRAFFORD. TAZAMA VIDEO ZA MAGOLI UONE JINSI LIVERPOOL ILIVYOIADHIBU MANCHESTER UNITED BAO 3 – 0 DIMBANI KWAO OLD TRAFFORD. Reviewed by crispaseve on 05:55 Rating: 5

No comments

Post AD