ANGALIA PICHA TAMASHA LA MICHEZO NA NYAMA CHOMA WATANZANIA NCHINI MAREKANI
Mh:Mwigulu
Nchemba na Balozi Libereta Mulamula Wakielekea Kufungua Tamasha la
Michezo,Mpira wa Miguu na Michezo Mingine hapa Washington.
Mtanzania
huyu hakufahamika Jina akielekea Kwenye Sherehe za Nyama Choma na
Michezo Mwendelezo wa Miaka 50 ya Muungano Wa Tanzania.
Mh:Mwigulu
Nchemba akibadilishana Mawazo na Balozi Mulamula wakati wa Michezo na
Nyama Choma zinaendelea Kufana hapa Washington DC.
Watoto
Wakiburudika katika Mchezo wa Bembea walipofika Kwenye Mkusanyiko wa
Watanzania Kwenye tamasha la Michezo na Nyama Choma hapa Washington DC.
Nyama Choma Imepamba Moto,Wadau wakibeba Sufuria Kuelekea eneo la tukio.
Nyama inaendelea Kuchomwa na Sausage.
Nyama choma ya Bure na Vinywaji ni Buree.
Watanzania wakiendelea Kutafuna Nyama kwenye Tamasha la
Michezo na Nyama Choma hapa Washington DC kwa Watanzania.
Mwandishi
wa Habari Kutoka Kwanza production akifanya Mahojiano na Mh:Mwigulu
Nchemba kuhusu Bunge la katiba,Maadhimisho ya Miaka 50 na Tamasha la
Nyama Choma kwa Watanzania hapa Washington DC.
Watanzania na Nyama Choma Kama Samaki na Maji,Wadau wakipata Nyama choma.
Wanafamilia wa Tanzania hapa Washington wakiwasili Kwenye Nyama Choma na Tamasha la Michezo.
Nyama Choma Is All about.
Watoto wa Kike pia walikuwa na nafasi ya Kuonesha Uwezo wao kwenye Soka.
Mh:Mwigulu
Nchemba na Balozi Libereta Mulamula Wakielekea Kufungua Tamasha la
Michezo,Mpira wa Miguu na Michezo Mingine hapa Washington.
Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani(Kilimanjaro Starz Vs Zanzibar Starz).
Mh:Mwigulu
Nchemba akisalimiana na Wachezaji wa Kilimanjaro Stars kabla ya Kuanza
Mpambano wa Mechi ya Kirafiki ya Kudumisha Muungano Wetu.
Bi.Loveness
Mamuya "IRON LADY" Shabiki Mtiifu wa Kilimanjaro Stars akisalimiana na
Mh:Mwigulu Nchemba kabla ya Mechi ya Mpira wa Miguu Kuanza.
Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wachezaji wa Zanzibar Heroes kabla ya Kuanza kwa Mchezo.
Mh:Mwigulu Nchemba katika picha ya Pamoja na Kikosi cha Zanzibar Heroes.
Mh:Mwigulu Nchemba katika Picha ya pamoja na timu ya Kilimanjaro Stars hapa Washington DC.

Wimbo wa Taifa Unaimbwa,Wachezaji wameweka Mikono yao Sawa Kuheshimu Wimbo.
Hili ndilo Kombe atakalo Kabidhiwa Mshindi wa Mechi kali ya Mpira wa Miguu kati ya Kilimanjaro Stars VS Zanzibar Heroes.
ANGALIA PICHA TAMASHA LA MICHEZO NA NYAMA CHOMA WATANZANIA NCHINI MAREKANI
Reviewed by crispaseve
on
05:31
Rating:

Post a Comment