TBL YAPEWA TUZO YA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kulia) akimkabidhi
Meneja Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lillian Makau cheti cha
shukurani cha kutambua ushiriki wa kampuni hiyo katika mapambano dhidi
ya Malaria nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani,
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Balozi wa Malaria
Tanzania, Leodegar Tenga.
Katibu wa Afya wa TBL (katikati), akitoa maelezo jinsi kampuni yake
ilivyojidhatiti kutoa elimu na tiba ya malaria kwa wafanyakazi pamoja na
wananchi.
Katibu wa Afya wa TBL (katikati), akitoa maelezo jinsi kampuni yake
ilivyojidhatiti kutoa elimu na tiba ya malaria kwa wafanyakazi pamoja na
wananchi.
Wananchi wakiwa katikasherehe za maadhimisho ya hayo kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid , akimkabidhi Meneja
Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lillian Makau (kulia) jinsi
kampuni hiyo inavyoshiriki katika mapambano dhidi ya malaria kwa
kuisaidia jamii na wafanyakazi wake, alipotembelea banda la TBL wakati
wa maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, Dar es Salaam jana. Katikati
ni Katibu wa Afya wa TBL, James Lyimo. Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano
wa TBL, Editha Mushi.
Katibu wa Afya wa TBL, James (kushoto0 akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi wakati wa maadhimisho hayo. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali zinazoshirikiana na serikali katika mapambano dhidi ya Malaria nchini.Mstari wa mbele kutoka kulia ni Athuman Mfutakamba, Waziri Dk. Rashid Balozi wa Malaria nchini, Leodgar Tenga.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
![]() |
| Makau akielezea mikakati ya TBL ya kuisaidia jamii na wafanyakazi katika mapambano dhidi ya Malaria. |
Katibu wa Afya wa TBL, James (kushoto0 akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi wakati wa maadhimisho hayo. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali zinazoshirikiana na serikali katika mapambano dhidi ya Malaria nchini.Mstari wa mbele kutoka kulia ni Athuman Mfutakamba, Waziri Dk. Rashid Balozi wa Malaria nchini, Leodgar Tenga.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
TBL YAPEWA TUZO YA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA
Reviewed by crispaseve
on
05:29
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
05:29
Rating:

Post a Comment