Basi
la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha
limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi
wala aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.Crdt GPL
BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO PWANI
Reviewed by crispaseve
on
04:58
Rating: 5
Post a Comment