Kutoka Gazeti la Mwananchi LEO:Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.”

Mjumbe wa Bunge la Katiba wa kundi la Umoja wa Kutetea Katiba ya
Wananchi (Ukawa), Ismail Jussa akionyesha moja ya nukuu za kitabu cha
Profesa Issa Shivji wakati wa mkutano na waandishi Dodoma jana. Kushoto
ni mjumbe mwenzake, Tundu Lissu. Picha na Salima Shao
---
Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa
Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao
jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.”
Kutoka Gazeti la Mwananchi LEO:Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.”
Reviewed by crispaseve
on
15:23
Rating:

Post a Comment