Waandishi Wamjulia Hali Mwandishi Mwandamizi Pemba.
Waandishi wakiwasili Kijiji kwa Maangwi Kiongoni Shegejuu wilaya ya Wete , kulia Juma Mmanga , Mwarab Mmadi (StarsTV)
Wandishi wakisalimiana na Shekh Masoud Sanani walipowasili Kijijini kwao
Shekh. Masoud Sanani akizungumza na waandishin waliofika kumtembelea
kujua hali yake, wakati akipata matibabu, kijiji kwao Maangwi Kisongoni
Shegejuu Wilaya ya Wete Pemba, aliyesimama ni Ndg. Juma Mmanga.
Waandishi Wamjulia Hali Mwandishi Mwandamizi Pemba.
Reviewed by crispaseve
on
15:26
Rating:
Post a Comment