Picha na Taarifa:Serikali imeweka mikakati madhubuti kupambana na magonjwa yasiyoambukiza hapa nchini

Meneja Masoko na Elimu kwa Umma toka
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF) Bi Anjela Mziray akiwaeleza
waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu programu ya upimaji
wa Afya kwa wananchi kwa magonjwa yasiyoambukiza inayoendeshwa na mfuko
huo hapa nchini.kulia ni Meneja Uhakiki na Madai wa mfuko huo Dk.Clement
Masanja na kushoto ni Afisa habari ,Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma
Salum.
Picha na Taarifa:Serikali imeweka mikakati madhubuti kupambana na magonjwa yasiyoambukiza hapa nchini
Reviewed by crispaseve
on
15:28
Rating:

Post a Comment