MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAMA MISHELI SINGOYE KUZIKWA LEO APRILI 30, 2014 ZINGA, BAGAMOYO PWANI
Mama mzazi wa Mtangazaji wa Television ya Taifa (TBC1), Angella Michael Msangi, Marehemu
Mama Misheli Singoye atazikwa leo Jumatano Aprili 30, 2014 ambapo ibada
itaanza saa tatu asubuhi katika Kanisa la Pentekoste, Kigamboni na
baada ya hapo safari ya kuelekea kwenye maziko Zinga kwa Awadhi,
Bagamoyo Pwani.
Marehemu Mama
Misheli Singoye alifariki Aprili 26, 2014 katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa.
MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAMA MISHELI SINGOYE KUZIKWA LEO APRILI 30, 2014 ZINGA, BAGAMOYO PWANI
Reviewed by crispaseve
on
04:18
Rating:

Post a Comment