Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa Band kuwasha moto International African Festival-Tubinge,GERMANY
Mwanamuziki
mashuhuri wa reggae barani Afrika Jhikoman & Afrikabisa Band toka
kule Bagamoyo,mkoani Pwani,Tanzania,anarajiwa kuwa miongoni mwa wasanii
wakubwa watakao
litingisha onyesho kubwa la 5 International African Festival-Tubingen litakalo fanyika mjini Tubingen, Ujerumani ya kusini kuanzia 17 Julai mpaka 20 Julai 2014.
Mwanamuziki huyo nyota Jhikoman kwa sasa anawashamoto katika majukwaa ya
kimataifa huko ughaibuni ameanzia Finlan,na atakuwepo Norway na
kwingineko.
pata buradani kiduchu
booking +358465919130
Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa Band kuwasha moto International African Festival-Tubinge,GERMANY
Reviewed by crispaseve
on
04:29
Rating:
Post a Comment